@buki_tz: Nilikaa chini nikamsikiliza @Hammer Q Zanzibar👑 nikagundua kua itabidi tuwaishimishe wazee wetu na kuwa kumbusha vijana wasasa kua mziki mzuri una dumu daima wakati munangojea hii ya sasa kasikilizeni ile ya zamani siku 3 zimebaki #tanzania🇹🇿uganda🇺🇬 #zanzibar #mombasa #arab