@princejohnke047: See How the DCP leader RIGGY G and his Spouse Pastor Dorcas are enjoying the privilege that comes with the people's power in the USA🇺🇸
Kwani hatukua tunajua gachagua vizuri ama kunaenda aje🤔
2025-07-23 10:01:04
63
hemarokcrown :
Msisahau kasongo kalibebwa na School bus😅😅
2025-07-23 09:36:54
96
nairobian :
ati gachagua anakundwa na FBI I don't believe
2025-07-23 19:37:39
0
Dancoh :
Pia sisi wakikuyu Rig G akiwa sawa pia tuko sawa
2025-07-23 10:26:06
25
MONEX MWITI. :
ama governor hio state ni mkikuyu
2025-07-23 09:19:09
16
KING'ANG'I :
aaai wamunyoro bana thi is too much unapee prezo hard time 🙆🙆
2025-07-23 08:57:58
47
cjtosh :
kwani gachagua ni nani ama? juu kasongo kaibebwa na bus🤣🤣🤣 kasongo asione hii🫣🫣🫣
2025-07-23 13:33:36
5
analysis griffins :
Riggy G is more powerful than those in government
2025-07-23 07:52:53
77
Kiprono87 :
When Riggy G iz happy am happy 🥰
2025-07-24 01:42:59
0
jesse githaiga :
kwani Gachagua ni nani,ni kama Kuna mahali tilimake mistake
2025-07-23 16:17:56
13
Charles ad Juliet :
aki kuna mungu binguni mueza yote gachagwa Jehovah arokurathima dad
2025-07-23 08:03:53
20
Keymoney :
This mean trump doesn't recognize his impeachment n still he is the people of kenya Deputy president
2025-07-23 09:29:16
14
Mose g :
wale wakusema ni editted wako wapi😅😅
2025-07-23 10:23:36
16
𝔻𝕒𝕪𝕋𝕖𝕔𝕙 𝕊𝕚𝕘𝕟𝕤 :
watu wa kbb wamejificha na uko kwa mahindi...😅😂😜😜
2025-07-23 09:45:47
25
brooklin :
Mimi kama mkale napenda riggy g
2025-07-23 13:31:19
16
WEST SYD TRENDS 217 K.e :
naskia truthful man alikula kimani baree ndio maana ako na beef na yeye😂😂😂
2025-07-23 09:21:47
17
Kidero Nandemu :
Me after shifting my loyalty from Baba to RiggyG.
When RiggyG is happy am happy 😅😅😂.
Wenye mnataka kumeza kiwaru...shauriyenu...
2025-07-23 12:33:47
33
Babylon dress 🟡🟢🔴 :
🤣🤣🤣🤣🤣 na c wakikuyu mnapea hawa watu pressure
2025-07-23 11:49:04
7
ronald thuo :
kwanny gachagua ako na say us
2025-07-23 12:39:41
2
Mchambuzi 001 :
😂😂😂haya yote kutishia tu. Wallahi Ruto angekuwa Uhuru muoga tayari angekuwa ameondoka mamlakini,lakini Ruto mwanaume kamili ,, saa tisa asubuhi ......... kipchirchir ,, hii Hata ukalala na Trump room moja ,hiyo ni Pr, hakuna kiti kwa mkabila ... Furahisha mafala zako 😁
2025-07-24 00:47:43
1
muchiri :
kuna ile video ya kasongo akitembea kwa hizo streets za usa mtu atengeneze hio video na hii hapa
2025-07-23 10:28:09
9
1 pretty princess :
Ichungwa umeona hii?
2025-07-23 11:34:08
8
cadies.. :
siwai ona raila akipewa hii security😂😂
2025-07-23 09:09:42
34
Malik Levo. :
Hii Pepo ikae huko Puu 🗣️💨,Sahi Kenya is Peaceful...
2025-07-23 14:31:21
0
murifekinara :
Sasa hii ndio ilimpea kîmani kimanooogle kîwaruu?
2025-07-23 09:43:02
8
To see more videos from user @princejohnke047, please go to the Tikwm
homepage.