@twahamwaipaya: Huyu shangazi ametuwakirisha vyema sana Team 29, apewe #REPOST za kutosha baada ya kukomboa nchi mama atapewa V8.#NoReformsNoElection #LissuSioMhaini #TUTASHINDA
Twaha Mwaipaya
Region: KE
Tuesday 14 October 2025 13:07:35 GMT
Music
Download
Comments
HSE Samson Samwel :
MUNGU IBARIKI SHUGHULI YA HUYU MAMA .Wote tuseme Amen
2025-10-14 16:22:05
329
MR_LOCATION📸 :
Dhambi za uyu mama zote wapewe waliopewa baiskeli za ccm😂
2025-10-14 19:34:20
165
Uncle Sam :
zambi za uyu mama aongezewe dulii
2025-10-15 19:37:23
0
I. Mhina :
Harafu kuna vijana wanasema October tunatiki Mamae wallah
2025-10-14 17:27:46
56
user26879332295445 :
MNYAKYUSA huyoooo 💪💪💪💪
2025-10-15 04:49:24
13
secrete :
kapangwa huyo aongee utumbo😁
2025-10-15 06:42:53
0
Dastani Moro :
duuh mama watakuteka kwa usalama wako bora🤐
2025-10-14 16:56:04
15
Juma Hango :
Hakikisha OKTOBA 29 unajitokeza kupiga kura,,kura yako haki yako jitokeze kupiga kura
2025-10-15 10:04:41
1
vestinashadrick :
Zambi zako zote nipewe mimi😁
2025-10-14 17:54:53
39
FRANCIS KAPANGE :
mama Yuko sahihi ata akipiga kura Haina maana hakuna kilicho badilika🇹🇿🙏
2025-10-15 13:23:16
5
Nito Creative :
Mama ameongea ukweli wa watu wengi. Hatupigi KURA
2025-10-15 08:06:12
8
christianrobert244 :
akili kubwa sanaa huyu MAMA
2025-10-14 13:30:34
118
Good evening 🤝 :
Aseee tulioko uyole tujitahidi kumuungisha uyu mama uetu
2025-10-15 07:18:03
4
Ibrahim bin Troure :
Me ndio mtoto wa huyu mama jaman
2025-10-14 18:12:47
54
innos_p :
tunaomba namba ya uyu mama tumuongezee mtaji tumchangie hata jero jero aendelee kufanya kazi hana muda wa kupoteza
2025-10-15 15:00:41
5
Baba N :
Mama tumekupenda🥰🥰🥰🥰
2025-10-14 19:03:24
18
EMMA STAR 🌟 :
Dada kasema kweli kabisa 😱
2025-10-14 17:47:24
44
Captain Tesha🫡 :
huyu mama anaakili kuliko viongozi wote wa ccm.wakiongozwa na mwenyekit wao
2025-10-15 12:15:49
2
k marley :
mama mm nasoma comments
2025-10-15 23:25:51
0
Sirili Joseph :
mama kaongea ya moyoni
2025-10-14 19:10:31
19
jason snob :
Huyu mama apewe pesa ya kula
2025-10-15 08:30:56
2
engineer :
wanawake kama hawa miaka hamsini na wapenda abarikiwe mwanaume aliemuoa
2025-10-14 13:57:33
25
Gibuyi Jr :
bora umetuwakilisha mama
2025-10-15 05:34:37
9
--Chobanka hodi :
ningekuwa mbeya ningenunua njegere kila siku kwake
2025-10-14 22:25:37
9
Dd. cent :
hata ikibadilika iyo tyume atasimamia malaika au ni huyu mtoto wa mwizi ambae mamaake na babaake ni huyu huyu .mwenye chuki na hila .ngumu sana
2025-10-15 12:13:04
1
To see more videos from user @twahamwaipaya, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.